iqna

IQNA

Padre Hilarion Heagy
Uislamu unaenea
TEHRAN (IQNA) – Padre Hilarion Heagy , padre mashuhuri wa Kanisa Katoliki la Mashariki lenye makazi yake Marekani amesilimu, akielezea uamuzi wake kama "kurejea katika Uislamu" na kwamba hatua yake ilikuwa "sawa na kurudi nyumbani."
Habari ID: 3476641    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28